the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Kwa eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 1000 inaingia miche mingapi ya nyanya??
Asante mkuu..Kwa upandaji wa mstari mmoja ni miche 1400 kwa mistari miwili ni 2800. Ukinunua mbegu unaongeza asilimia 30 kwa ile ambayo haitoota au itakufa uwe na ya kurudishia
Asante mkuu..
Kwann idadi ya miche inapishana sana kati ya upandaji wa mstari mmoja na mistari miwili?? Na pia kwa eneo kama hilo unahitaji gram ngapi za mbegu?
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi..Dah hilo swali kweli jamaa yangu kwa mstari mmoja lazima miche iwe michache ukipanda mistari miwili inamaana inakua double. Sema sasa mbegu pia itakupa aina ya upandaji most ya hizi hybrid za nnje (open field) ni za kupanda mstari mmoja sababu mche unakupa kg 6 mpaka nane ila kwa zile za kienyeji zinapandwa mistari miwili sababu kila mche unakupa tu kg 2 mpaka 3.
Kwa gm,mbegu chotara ziko kwa idadi ya mbegu mambo ya gm yanaanza kusahaulika sasa.
Ila uzito unategemea na aina ya nyanya mfano imara gm 1 ni mbegu 350 kampuni wanazidisha kidogo wakati wa kupima iwe faida kwa mkulima ila right kipimo ni gm 1 ya nyanya ni mbegu 250 mpaka 300
Nashukuru sana mkuu kwa ufafanuzi..
Habari Mkuu.. nimekutana na hii chqngamoto.. baadhi ya mashina ya nyanya.. dawa gani inaweza kudhibiti huu ugonjwa??Karibu sana
Habari Mkuu.. nimekutana na hii chqngamoto.. baadhi ya mashina ya nyanya.. dawa gani inaweza kudhibiti huu ugonjwa??View attachment 714706
Asante mkuu..kuhusu maji namwagia yakutosha.. kwahyo nikiweka mbolea ya CAN nitakua nimetibu tatizo..?Hiyo sio tatizo la mdudu wala sio ugonjwa ila ni tatizo la lishe,ni ukosefu wa Calcium ambao husababishwa na
1. Kutokuwekwa kwa mbolea yenye calcium kama CAN
2. Ukame hivyo calcium ya ardhini haipandi kwenye matunda maana husafirishwa na maji
Inaitwa BLOSSOM END ROT
Asante mkuu..kuhusu maji namwagia yakutosha.. kwahyo nikiweka mbolea ya CAN nitakua nimetibu tatizo..?
Asante sana mkuu..Ambazo ziko affected ndio basi sema utacorrect tatizo kwa mpya maana hapo ni kwamba ngozi haikukamilika kutengenezwa
Asante sana mkuu..
Mkuu habari..Ambazo ziko affected ndio basi sema utacorrect tatizo kwa mpya maana hapo ni kwamba ngozi haikukamilika kutengenezwa
Hii nyanya ni ain gani? Hauna afya mmea wake vipi mbolea unawekaje?Mkuu habari..
Nimekuta baadhi ya miche ina rangi ya njano.. unaweza kujua hii inatokana na nini?View attachment 724772
Bro nakutafuta, naomba namba yako, nimekucheck inbox. PleaseHii nyanya ni ain gani? Hauna afya mmea wake vipi mbolea unawekaje?
Naona kuna uzee wa jani, kuna ukosefu wa madini na kuna ukungu + kutu. Unaweza yatoa majani ya chini kabla ya tunda la kwanza
Umewatetea mkuu...niambie ukweli hawakuniuzia mbegu....nilinunua miche
1: Kama ndiyo unaanza kabisa Kilimo Cha Nyanya, Anza na Mbegu za Kawaida mfano: Rio Grande ni Nzuri,Tanya, Tengeru nk, ila Rio Grande ndiyo yenyewemkuu nitahitaji msaada wako mimi ni mgeni wa mambo hayo na ni kama ki bustani hivi cha robo heka je mbegu nzuri ni ipi ? kulikuwa na mazao mengine hapo kama migomba n.k
Kibo F1 gram 10 ni 85,000Bei zake ni ghali sana, maana Mbegu ya chini kabisa gram 10 ni zaidi ya 15,000/