Msaada kuhusu matokeo ya kidato cha nne

Bugasarai

Member
Oct 8, 2017
74
240
Habari wakuu, mdogo wangu amepata division 3 ya point 23, amemaliza kma private candidate..nauliza kuna uwezekano wa kupata selection kwenye shule za serikali?? Mwenye uelewa anisaidie please
 
Habari wakuu, mdogo wangu amepata division 3 ya point 23, amemaliza kma private candidate..nauliza kuna uwezekano wa kupata selection kwenye shule za serikali?? Mwenye uelewa anisaidie please

Mkuu kwa akili ya kawaida tu bila kuchoshana humu hivi kweli kwa hiyo Grade yake ya Division 3 na Points zake hizo 23 unadhani kweli atapata ' selection ' katika Shule za Serikali? Nadhani kwa kukusaidia tu labda ungetuuliza hivi kwa alama zake hizi huyo Mdogo wako unadhani anaweza Kusoma Kozi gani au Kujiendeleza vipi kwani si lazima aende Advanced Level na badala yake anaweza akafanya Kozi zingine akazifaulu na kuja kuwa Mtu muhimu na akaingiza Pesa na kuja kuwa na mafanikio makubwa tu maishani.
 
Back
Top Bottom