mkali wa hesab unapata D rudi tena shule mjombaa.hyo mastaz badae cn
Atasubiri sana huyu dogo na hicho kijiD chake. Arudi nyuma tu kama ndoto yake ni kuwa mwalimu.
Kweli Tanzania tuna majuha wengi sijawahi ona !!!!
Mnaopiga kelele endeleni ila kama kuna wenye professional kubwa zaidi ya hyo ndo aendelee kupiga kelele,
MSc Fincance,
CPA
CI(insurance)
CM( MAT)
TIOB (candidate 2015/2016)
BBA(accounting major).
Sasa piga kelele Judge me kama tunafanana na wewe kufeli kwako maisha kusikufanye ushindwe toa mawazo au kuchangia kwa busara. ..
Kaa na ujinga wako

maelezo yako yanaonesha tu shule hujaenda D A-level ni hafifu ?? Nimekwambia weka yako kama unagats hzo afu kingne mi najisifu hesabu naijua sibahatishi inaezekana kipimo na uwezo wako Wa mawazo ndo umekwama kwenye D ni kufeli,miaka 12 iliyopita huna busara kiasi hcho am doubting your personality
Kweli Tanzania tuna majuha wengi sijawahi ona !!!!
Mnaopiga kelele endeleni ila kama kuna wenye professional kubwa zaidi ya hyo ndo aendelee kupiga kelele,
MSc Fincance,
CPA
CI(insurance)
CM( MAT)
TIOB (candidate 2015/2016)
BBA(accounting major).
Sasa piga kelele Judge me kama tunafanana na wewe kufeli kwako maisha kusikufanye ushindwe toa mawazo au kuchangia kwa busara. ..
Kaa na ujinga wako
Mkuu mi sikulaumu kwa kupata D ya hesabu advance lakini ukweli utabaki palepale kuwa D ni dhaifu ingawa hata hiyo D kupata kazi ifanyike. Huwezi fananisha D ya advanced maths na D za history na nduguze.
Kosa ulifanya ulipoamua kufanya BBA, nani alikushauri hivyo?

Nataka kusoma masters of science in mathematics lakini sifa sina kwakua undergraduate sikusoma Bsc hvo nauliza wadau njia gani nipite manake nimejarbu tafuta postgraduate diploma in mathematics naona bongo kama hakuna ivo kama kuna wadau wenye kufahamu ilipo washushe mawazo ..
Kufanya BBA sio kosa just malengo 2..ila mkuu alchoniuz ni kuanza kumention hzo professional zake kwa show off umu..ata mm pia advance nlifanya hyo combination.. ila chuo nmefanya BBA(accounting) kwa mapenz yang na naunga msc(finance&investment) IFM branch mwanza..mkuu kaleta uzi mzur ila kaharbu kujiona yupo mbali san umu ndan kulko wengne..
Ni kweli mkuu usemayo lakini kauli yangu ya kusema alifanya kosa kufanya BBA sikumaanisha ni kosa au haifai kufanya BBA isipokuwa namlaumu yeye kufanya BBA wakati hana ambition nayo na mbeleni alijua angekwama tu,bora angefanya Bsc with education ingemtoa
Kiukwel dogo ana alama hafifu
wengine tumepata B na bado tuliona tumeanguka
Ukwel ndo huo hesabu ndo somo jepesi kwenye PCM
Me nimemaliza 2008 na nilikuwa na B nikajiona ---- kwa kukosa A[/QUO
My year mate kama sio Necta mate wa advance
Sasa mkuu sijaelewa hapo kwenye red!! kufaulu sana/kufanya vyema kwa kupata D? Lakini wakati unachagua kozi za undergraduate hukuona kozi za maths/ sayansi? kama kweli ulikua unapenda sayansi kwanini hukuchagua kipindi kile? unavyotaka kusoma masters ya maths huku umesoma biashara unadhani hesabu ya chuoni hasa undergrad na grad ni zile za 3 by 3 matrix, dy/dx, mean and median za advance?Habari ndugu Watanzania!
Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya vyema kama ilivokua huko mwanzo nilikuwa nkifUlu vizuri tuu hesabu.
Napenda sana kusoma na kufundisha hesabu nimejarbu kupitia katika vyuo vyetu lakini hakuna postgraduate diploma in mathematics or anything related na Mimi nataka kusoma postgraduate studies majoring in mathematics.
Nilienda udom nkambiwa kuna masters na kwa Mimi niliesoma BBA siwez kuna admitted udsm kuna masters ya Masterz ya mathematics modelling na masters in mathematics lakini kwa degree yangu ya kwanza ya BBA hawakubali admission kwangu.
Naomba ushauri wenu nifanyeje niweze kua mtaalamu Wa hesabu kufundisha.
Matokeo yangu katika somo la hesabu;
University studies ; A & B+
Advance: pcm I scored D
O-level : A
Napenda sana somo hili kufundisha na kuwaelimisha wenzangu hasa kuwa mtaalamu Wa hesabu.
Hahahahahahah hapa ndo mwisho wa majigambo yote, watu wanasoma historia ya hesabu wanakuja kubishana humu. kama kweli kuna wakili wafanye hivyo tuone na kuwapongeza.Ivi Tanzania nako kuna wakali wa MATHEMATICS...???:confused2::confused2:
Hatutaki kuskia mbwembwe tunachotaka kukiona hapa ni mnatunga ma-theory na ma-formula ya maana tena mapyamapya sio kubandika vi B na D vyenu humu.., tena vi-score vyenyewe vimekaa kisiasa
Mtunge vitabu vya Pure Maths tena kwa kiswahili tuvione sio kujisifia tu humu kwenye mitandao.
Kiukwel dogo ana alama hafifu
wengine tumepata B na bado tuliona tumeanguka
Ukwel ndo huo hesabu ndo somo jepesi kwenye PCM
Me nimemaliza 2008 na nilikuwa na B nikajiona ---- kwa kukosa A[/QUO
My year mate kama sio Necta mate wa advance
Wap ulimalizia kaka
Na ulikuwa pcm?