maelezo yako yanaonesha tu shule hujaenda D A-level ni hafifu ?? Nimekwambia weka yako kama unagats hzo afu kingne mi najisifu hesabu naijua sibahatishi inaezekana kipimo na uwezo wako Wa mawazo ndo umekwama kwenye D ni kufeli,miaka 12 iliyopita huna busara kiasi hcho am doubting your personality
We kijana zao la mlugo ebu acha mbwembwe wewe kubali tu kwamba hukuperform vizuri kwenye hilo somo yaishe.
Halafu eti unajustify my personality eti kisa kukwambia ukweli.
Nenda kasomee huo ualimu utoe products za kimlugolugo just the same as yours.
We kijana zao la mlugo ebu acha mbwembwe wewe kubali tu kwamba hukuperform vizuri kwenye hilo somo yaishe.
Halafu eti unajustify my personality eti kisa kukwambia ukweli.
Nenda kasomee huo ualimu utoe products za kimlugolugo just the same as yours.
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.
Computer science or any science related Bsc unaweza kuwa admitted kwenye course ya Msc yoyote at least kwa kutumia PGD ila bila Bsc n ngumu hata hiyo course yako iwe na hesabu ngapi bado n shida tu na hata ukienda kimagumashi utateseka tu! Angalia ustaarabu mwingine kijana
Huh
Ulishawahi kupiga advanced maths wewe au unaongea acha kujifanya mjuaji hesabu za advanced HABARI nyingine hiyo D yake IPO poa tena sio ya BRN
Asante mwambie naona anaongea ongea tu.
Huh
Ulishawahi kupiga advanced maths wewe au unaongea acha kujifanya mjuaji hesabu za advanced HABARI nyingine hiyo D yake IPO poa tena sio ya BRN
Eti D ipo poa kabisa hapo?! ndo mnavyojifariji nyie vijana leo eee?
mimi nimesoma PCM nachosema ni hivi katika comb hii maths ndiyo nyepesi kuliko vyote ikifuatiwa na chemistry then physics. Aje member yeyote aliyesoma PCM hapa atoe ushuhuda n prove me wrong.
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.
hata mm nimeliona hilo nahc hayo mengine alipiga v principle vya EE
Kwahiyo kwa akili yako ndogo unahisi mi nilikomea std vii? halafu unabisha kuwa wewe sio zao la mlugo huh?
Itoshe tu kukwambia kuwa kote huko unakoelekea kufika mi nilishapita kijana.... eti CPA holder??? ko we unahisi after form six ambayo nilifaulu vizuri kabisa kwa nini nisiendelee na stages nyingine??
Kiukwel dogo ana alama hafifu
wengine tumepata B na bado tuliona tumeanguka
Ukwel ndo huo hesabu ndo somo jepesi kwenye PCM
Me nimemaliza 2008 na nilikuwa na B nikajiona ---- kwa kukosa A
Tunashukuru kwa kujua kuwa umepiga PCM
Umeona mkuu! nimejitahidi sana kumuweka sawa ili angalau atengue kauli kuwa eti alikuwa afaulu sana maths kwa viwango vyaD??? halafu eti anakuja na clarifications za ufaulu wa chuo...! hivi business mathematics nayo inadefend ukipanga wa hesabu wakati hata aliyesoma HGE anaiona nyanya kabisa?? vijihesabu vya kutafuta coefficiency of correlation au annuity?? aisee tusiidharirishe maths especially when it comes to pure mathematics... mle kuna vitu vitamu unasolve vitu vinatiririka baraa aaaaisee nakumbuka mbali sana!!
nenda karudie form six upige A akaf omba chuo upige hyo mastaz yako.ww unepata D unajiita mkali nd maan unakataliwa kupiga mastaz na D ya hesab
Mkuu elewa nimekwambia nafaulu vizuri kwa hyo sentensi haina clarification ni level gani pia kupata D mtuhani Wa mwisho si kigezo cha kumpima mtu anajua ama Hajui waliosoma sayansi wanajua kuna watu walikua hatari sana watu karbu wote waliwategemea kuwasolvia ila NECTA walifanyo ovyo ,
Nikweli nimepata D ila vle najiamini kuhusu hilo somo ndo mana nataka nipige masters yake more than 3mil a year kama sijiamini au silijui nisingetaka kusoma na kupoteza pesa zangu miaka miwili na ndo mana hujaona nataka mfadhili kwa ungelalamika na kua na hofu kua nataka poteza pesa za wahisani NALIPA MWENYEWE hvo najiamn kwa nachokifanya sibahatishi na nimekwambia hesabu naijua sibahatishi.