Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Cjakuelewa tatizo umekosa ajira au anataka masters ya hesabu,kama shida ni ajira kasome diploma ya ualimu ili uendelee kuitumikia hesabu
au kuwa mwalimu wa "mapindi" a.k.a tuition. naamini kama nia yako ni ya dhati,basi utawasaidia vijana wengi.
Cjakuelewa tatizo umekosa ajira au anataka masters ya hesabu,kama shida ni ajira kasome diploma ya ualimu ili uendelee kuitumikia hesabu
Soma postgraduate diploma in education utachagua masomo mawili ya kufundishia ikiwemo hiyo hesabu.
Habari ndugu Watanzania!
Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya vyema kama ilivokua huko mwanzo nilikuwa nkifUlu vizuri tuu hesabu.
Napenda sana kusoma na kufundisha hesabu nimejarbu kupitia katika vyuo vyetu lakini hakuna postgraduate diploma in mathematics or anything related na Mimi nataka kusoma postgraduate studies majoring in mathematics.
Nilienda udom nkambiwa kuna masters na kwa Mimi niliesoma BBA siwez kuna admitted udsm kuna masters ya Masterz ya mathematics modelling na masters in mathematics lakini kwa degree yangu ya kwanza ya BBA hawakubali admission kwangu.
Naomba ushauri wenu nifanyeje niweze kua mtaalamu Wa hesabu kufundisha.
Matokeo yangu katika somo la hesabu;
University studies ; A & B+
Advance: pcm I scored D
O-level : A
Napenda sana somo hili kufundisha na kuwaelimisha wenza
Mkuu samahani kwa kuingizia hili kwenye uzi wako.umesema ulienda UDOM ukakuta ipo Masters in Mathematics.je kwamimi niliyesoma Bachelor Degree in Computer Science naweza kuwa admited kwa Masters ya Mathematics ya UDOM?
Nashukur Mkuu Kwa Majibu Yako But Hapo Umesema Hiyo Masters Ya Udom Imekaa Kisiasa Ina Maana Wanafelisha Wanafunz Makusudi?Pia Kwan Mzumbe Nao Wanayo Hii Kozi?Najua Mi Udsm Na Udom Tu
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.
Nashukur Sana Kwa Ufafauz Wako,ngoja Nifatilie Kama Mzumbe Wanayo Hii Kozi Nilipenda October Nisome Hii Kozi
Cjakuelewa tatizo umekosa ajira au anataka masters ya hesabu,kama shida ni ajira kasome diploma ya ualimu ili uendelee kuitumikia hesabu
Asante mkuu ukipata info comeback here for replies naona watoto wadogo wameingia wanasumbua na michango yao isiyo na tija
Somo jepesi eeeh kwani wewe ulisoma combination gani???
Ujinga na uelewa Wa mtu haupimwi kwa makaratasi na hapo watanzania ndo tunaposhindwa,Don't judge a book by its cover.
Au kaulize aliekua Tanzania one aliishia wapi kama sio alidisco pale Mlimani.
D its still a mark kama sio tufanye wewe ulifaulu huna mchango wala mawazo unakurupuka unatoa sheat hyo D wewe unayo ama ulithubutu kua nayo??? Umeona D tu mbona A ujasema ,utabakia ivo ivo kushinda social network kutoa comments wanzako tunajifunza !!!!
Wee mchalii acha kutokwa na povu jingi. Mi nilicomment hivyo baada ya wewe kujisifu kuwa advance ulifanya vizuri kwenye somo hilo wakati ufaulu waD unakuwa regarded kama hafifu.
Mimi kaka yako nilisoma PCM miaka12 iliyopita na nilifaulu vizuri kwenye hiyo maths kuliko wewe.
Rekebisha kwanza kauli yako ndo utokwe povu jingi kama unatafuna majani ya mpapai.