Msaada kuhusu hii kozi Library and information management

0swagg

Member
Jun 29, 2020
36
12
Habari

Kijana kachaguliwa Bachelor science in library and information management ,

- Tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi

  • Ugumu wakozi
  • Soko laJira lipoje

-unafaham nini kuhusu hii Kozi?

Asante.
 
Huyo anaweza fanya kazi nyingi hata kazi za records management anaweza kujigalagaza hapo.
 
Habari

Kijana kachaguliwa Bachelor science in library and information management ,

- Tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi

  • Ugumu wakozi
  • Soko laJira lipoje

-unafaham nini kuhusu hii Kozi?

Asante.
Hakuna kozi ngumu ukiipenda ,Ajira zipo ondoa shaka
 
Habari

Kijana kachaguliwa Bachelor science in library and information management ,

- Tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi

  • Ugumu wakozi
  • Soko laJira lipoje

-unafaham nini kuhusu hii Kozi?

Asante.
Wakubwa watakuambia asiwaze kuajiriwa Bali kujiajiri...
 
Mm nilisoma hiyo na ilinitoa. Sasa mambo yanebadirika imebase na systems zaidi. Kama utaendana na kazi nzuri
 
Habari

Kijana kachaguliwa Bachelor science in library and information management ,

- Tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi

  • Ugumu wakozi
  • Soko laJira lipoje

-unafaham nini kuhusu hii Kozi?

Asante.
Mimi siyo mtaalam sana lakini kwa dunia hii ya sasa kama hauna connection usisome hizi special kozi ambazo zinapelekea kufanya kazi ofisi ya aina ile ile.
Na maanisha asome kozi ambayo ataingia popote, mhasibu, HR, Business, Enveronmental, IT, Computer science nk.
Hizi special kozi ziwe za kilimo au ualimu wa science.
Kijana wangu aliomba Cyber Security na accounting IAA na ana division 2 ya mwanzo kabisa wakamtosa, juzi anatumiwa sms kuwa ana multiple selections kufuatilia naona kwenye third selection wamempangia hiyo kozi ya library science.
Nimemwambia asiangalie haya mara mbili apite awaachie wasome wenyewe. Dunia hii ya leo Libray wapi na wapi, hosptal nazo zimeanza kuachana na kutunza hard file za wagonjwa, itabaki mahakama peke yake
 
Mmmh hii hatari sasa
 
Back
Top Bottom