Msaada: Kuhusu mashine za Digital combo heat press

matyazo

Senior Member
Oct 29, 2014
109
31
Habari za pilika wadau wa jf!..nahitaji msaada wenu..kama kuna mtu anauzoefu na hizi machine za new digital combo heat press machine anisaidie,anaweza nicheki pm nikamweleza tatizo liko wapi then kama atakua expert kwenye hizi machine tunaweza fanya joint venture tukapiga kazi pamoja.
Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom