Wenye idea ya heat press machine (T-shirt printing business)

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
416
500
Habarini wadau,

Kama kichwa kinavyojieleza wale wote wenye idea ya hii (heat press machine) ambao wanaoifanya hii biashara au waliokwisha ifanya hii biashara ya t-shirts printing tupeane angalau mawili matatu kwa wale tunaotaka au wanaotaka kuianzisha biashara hii kwa kuijua.

A. Changamoto
1. Heat press machine
yenyewe, kama uharibikaji wa vifaa vyake na matengenezo yake.

2. Materials yanayohitajika kwa ku prints t-shirts (heat tranfer paper)
Bei ya hizi heat tranfer paper na je ikitumika mara moja ndio haitumiki tena (kibongo bongo)

3. Printers. Ipi ni printer nzuri inayoendana na mazingira ya Tanzania yani uharibikaji wake na uharisi wa upatikanaji ya spare zake na mengineyo.

4. Energy comsuption, yaani ulaji umeme wa hii mashine yenyewe (heat press machine) ina ulaji mkubwa wa umeme au ni wa kawaida.

5. Garama za kuprint T-shirt moja na faida ya t-shirt moja inayopatikana.

Hizo ni baadhi ya changamoto chache nilizoziorodhesha kuna nyingine zaidi ya hizi.

Asante
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom