msaada kuhusu mashine ya kusaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kuhusu mashine ya kusaga

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kitoabu, Aug 27, 2011.

 1. Kitoabu

  Kitoabu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 5,765
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Jaman naomba mnisaidie kuhusu ni wapi naweza pata Mashine ya kusaga inayoweza tumia mota ya hs 60. Kwa sabab n nina mashine niliyotengezesha mtaan inasumbua kweli kila SIKU inapasuka. Walau iwe na uwezo wa kusaga walau hata tan moja na nusu kwa saa
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nenda SIDO au kama upo Dar es Salaam nenda pale chuo kikuu cha dar es salaam ulizia BICO ni wapi, wakikuelekeza ukifika BICO hapo utapata kila kitu mkuu.
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  sido Moshi ndio wazuri,kuna mada kama hii ilishajadiliwa,na namba zao za simu zilipostiwa,just search utaiona hiyo thread
   
Loading...