Victor Kisanga
Member
- Jul 30, 2012
- 37
- 6
Kwa wale mnaosoma au mliochaguliwa UDOM naombeni mnisaidie kwa hili,
Hadi sasa nimepata sh 282,500 za direct cost na wanasema deadline ni tarehe 30 sept.
Je nikilipa ada baada ya deadline wataipokea? Na
Je kama nikishindwa kulipa hyo ada inayobak ukitoa bodi wanayonilipia wataweza kunisajili kwa kulipa direct costs tu?
Ni hayo tu, naombeni mnisaidie