Msaada kuhusu mafao

Msaada kuhusu mafao

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Habari wanajamvi,

Naomba kujuzwa kwa wanaolewa maswala ya mafao, hususan mifuko ya NSSF na PPF na mingineyo kuhusu fao la uzeeni. Kwa uelewa wangu mdogo ni linawafaa wale waliostaafu kwa hiari ama kwa lazima.

Sasa swali langu, naomba nisaidiwe: endapo mtu amefikia umri wa kustaafu kwa hiari lakini kabla hajastaafu akawa ameachishwa kazi, je, atastahili kulipwa fao hili ama hastahili?
 
Back
Top Bottom