Mkuu mbona kama wanafunzi wengi, Clinical officer peke yake 150, mh! huduma kweli wanaweza. Kwa picha bomba! Naomba kiwe hivyo.Kipo vizuri mkuu, wahi mapema nafasi ni chache
You won't regret maana mimi nimepeleka mdogo wangu pale kamaliza CO 2014, full equiped! Unaweza kufika physically kujionea hata matokeo yaliyopitaMkuu mbona kama wanafunzi wengi, Clinical officer peke yake 150, mh! huduma kweli wanaweza. Kwa picha bomba! Naomba kiwe hivyo.
asante. my daughter has been accepted. Nimekosa direct contact na mtu aliyesoma pale. JF sijui inakuwaje siku hizi. kama yuko humu JF mwambie ani pm... His/her identity will remain safe asihofu.You won't regret maana mimi nimepeleka mdogo wangu pale kamaliza CO 2014, full equiped! Unaweza kufika physically kujionea hata matokeo yaliyopita
Then good for you mkuu, hospital kwa ajili ya clinical training ipo hapohapo jirani, sidhani kama kuna atakachokosa pale zaidi ya kusoma kwa bidii tu.asante. my daughter has been accepted. Nimekosa direct contact na mtu aliyesoma pale. JF sijui inakuwaje siku hizi. kama yuko humu JF mwambie ani pm... His/her identity will remain safe asihofu.
samahani natoka nje ya mada hivi machame wameshatoa majina ya selected diploma in coNaomba mweye kujua profile ya Chuo hapo juu anifahamishe. Kilipo including mazingira ya kujifunzia, ubora wa elimu, malezi ya vijana, graduates wake wanauzika kwa kiwango gani katika soko la ajira etc. etc.
Yes wametoa.samahani natoka nje ya mada hivi machame wameshatoa majina ya selected diploma in co
asante sana, nipe tu hata wa nursing maana ni chuo kimoja. Nitashukuru sana.Pako vizuri kabisa.... Kuhusu mawasiliano nilipoteza za wanafunz wa co ila kama unataka nikupe wa nursing akuunganishe na wa co hapo utapata.... ila kama una subra kidogo nitakutafutia za mwanafnz wa co
Yes wametoa.
Wamenipigia simu na kunitumia joining instructions. Kwenye website yao sioni. Lakini sasa hivi Friday, 21, 2017 now at 11.oo jioni wanatuma joining instructions. Kama umechaguliwa watakutumiaMkuu unaweza kuniwekea link ya majina waliochaguliw clinical medicine