hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 540
jaman mi nauliza Loyola n ya day or boarding na ka ni ya boarding ada yake sh ngap cz hii shule nmeiona ni nzuri yan kujiunga 4m 5 so naomba mniambie coz naisikia 2
kwa niijuavyo loyola ni day school,bt kwa a levo wanapataga nafasi za hostel