ngebo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 1,684
- 2,127
If u have both parebts then thank God you are lucky,universuty life without a loan ni matatizoPrivate kote ila shule ilikuwa sio ya gharama
If u have both parebts then thank God you are lucky,universuty life without a loan ni matatizoPrivate kote ila shule ilikuwa sio ya gharama
Hiyo msg ya kibiashara acha kupagawa
Kwani inatakiwa tuwe na account crdb pekee? Benki nyingine vp? Barclays, exim, nmb, nbc?kwenye list sikuepo ila jana CRDB walinitext wakanitell mamboi ya booom ndo leo nimeingia katika akaunt yangu nimeandikiwa hizo pesa ila ingieni na kwenu maybe wametoa iula hawajatangaza
Ndio tulichokuwa tunakiongelea, hatuns maana nyingineHiyo msg ya kibiashara acha kupagawa
Zote zinatumika kwny system, bt hawa crdb wameamua tu kujulisha wateja kwa styl hii mkuuKwani inatakiwa tuwe na account crdb pekee? Benki nyingine vp? Barclays, exim, nmb, nbc?
Fungua crdb kama unataka upate boom kwa wakati...kama utakua bank nyingine pesa yako itachelewa...nimesoma na watu walikua na nmb ,pesa zao huingia karbia week baada ya watu wa crdb kupata boom lao.Kwani inatakiwa tuwe na account crdb pekee? Benki nyingine vp? Barclays, exim, nmb, nbc?
Kwa sasa mambo yamebadilika kidogo .....km ipo tofaut ya siku bas ni moja tuu.....japo sio constant ....kuna boom moja walianza kupata nmb halaf baadae crdbFungua crdb kama unataka upate boom kwa wakati...kama utakua bank nyingine pesa yako itachelewa...nimesoma na watu walikua na nmb ,pesa zao huingia karbia week baada ya watu wa crdb kupata boom lao.
Poa poa, ila sioni haja ya kuwa na acount bank mbili tofauti na sio za biashara. Gharama za kuilipia crdb kwa mwaka, ndio zitatumika kunisave hiyo wiki 1,2,3....Zote zinatumika kwny system, bt hawa crdb wameamua tu kujulisha wateja kwa styl hii mkuu
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Fungua crdb kama unataka upate boom kwa wakati...kama utakua bank nyingine pesa yako itachelewa...nimesoma na watu walikua na nmb ,pesa zao huingia karbia week baada ya watu wa crdb kupata boom lao.