Msaada kuhusu loan breakdown wadau

Msaada kuhusu loan breakdown wadau

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,652
Reaction score
5,133
Habar wadau naomba kuuliza maana ya hili neno breakdown!!!then wameniandikia sh mil 2085300
 
Hawajatoa ila nimechek loan stutus nd nimekuta hv
 
Kwan first batch ulipata?
kwenye list sikuepo ila jana CRDB walinitext wakanitell mamboi ya booom ndo leo nimeingia katika akaunt yangu nimeandikiwa hizo pesa ila ingieni na kwenu maybe wametoa iula hawajatangaza
 
We acha story CRDB wanahusikaje na boom bado hata hujasign
kaka CRDB walitumia text leo ndo nimeeingiua katika akaunt yao ya helsb nimekuta boans breakdown mil 2 na something ila tution fee 0 nimepata meals and accommodation tu
 
We acha story CRDB wanahusikaje na boom bado hata hujasign
Ni kwel bana CRDB BANK Ina karibisha watu kujiunga kwako wote waliopata mkopo hutumiwa hiyo msg, ila haina maana boom kuwa limetoka tayari.
 
Screenshot_20171025-164524.png
 
duuuh nimeshtuliwa na tangazo la HOTMIX [HASHTAG]#EATV[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom