Msaada kuhusu level za NACTE

Msaada kuhusu level za NACTE

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Kwa utaratibu mpya wa NACTE kwamba ukimaliza kusoma form 4 unachukua cheti NTA level 4 au NTA level 5 na form six unaanza NTA level 6 au NTA level 7 au NTA level 8
Sasa kwa mwalimu mwenye cheti cha grade A na cheti cha elimu maalum vyote amesoma anakuwa kundi gani?
 
utaratibu huo umeupata wapi we? weka source.. then kumbukeni kuna cyber crime law sio tu uko nyuma ya keyboard unaandika unachojisikia
 
elewa kwamba NTA level 4 ni Certificate
NTA level 5 NI Diploma mwaka wa kwanza and NTA level 6 ni Diploma mwaka wa pili. understand hivyo
 
Sawa
Sawa nimeiona sekomu wameweka sifa za kujiunga na diploma kuwa
Diploma in primary nta level 4 awe form 4 division3
Diploma in primary level 5 awe grade A teachers
Swali language huyu grade A teachers pia ana cheti cha elimu maalum ambacho kwenye guide book ya nacte inaitwa higher diploma in special need nta level
Huyu MTU mwenye sifa hizi atapewa a some nn
 
Write your reply... Mimi naomba msaada nimemaliza form four lakini sijafanikiwa kupata d4 Nina C² na D1 naweza pata chuo au naweza pitia njia gani ili nipate kigezo cha kwenda chuo
 
Back
Top Bottom