Asante kwa mawazoAjira wanahtaji uzoefu pia unapo kuwa na M.A hrfu hjawah kufanya kazi inakuwa ngumu sana kwenye ushndani wa soko la ajira kuhusu kozi sio mbaya
Asante sanaEverything is useful it depends on the users.
Anyway ni nzuri kwa Sasa Nchi inahitaji community development officers wengi
binafsi ninge mshauri achukue masomo ambayo yatamwezesha kujiajiri baada yakumaliza endapo atakosa ajira ya kuajiriwa kuliko kusoma masomo amambayo application yake lazima uwe umeajiruwa tuHabari zenu wana jf. Mdogo wangu amemaliza degree ya economic of development. Kwa sasa anataka asome masters ya community development. Kulingana na soko la ajira hii kozi ni nzuri au? Msaada wenu wa mawazo plz.
Ni masomo gani (kozi gani) ambayo mtu akisoma anaweza kujiajiri? Tusaidie nasi wengine tujue maana hili jambo linakumba wengibinafsi ninge mshauri achukue masomo ambayo yatamwezesha kujiajiri baada yakumaliza endapo atakosa ajira ya kuajiriwa kuliko kusoma masomo amambayo application yake lazima uwe umeajiruwa tu
Ni masomo gani (kozi gani) ambayo mtu akisoma anaweza kujiajiri? Tusaidie nasi wengine tujue maana hili jambo linakumba wengi
Kwani kujiajiri ni mpaka usome masomo fulani?? Kuna watu ni form IV leavers na wamejiajiri wanapiga hela!binafsi ninge mshauri achukue masomo ambayo yatamwezesha kujiajiri baada yakumaliza endapo atakosa ajira ya kuajiriwa kuliko kusoma masomo amambayo application yake lazima uwe umeajiruwa tu