jaffaray20
Member
- Apr 25, 2020
- 39
- 42
Anhaaa ndio itabid unipe maelekezo vzur kma unapafaham vzurKauze Botswana aisee, utazichanga kichizi
Ndio nipo InstagramUpo instagram?
Anhaa kwahyo unanishauri nifanye nn?Belo za mtumba ni mnazi mmoja,
Ila bana belo ni kama ku beti, Nilishawahi ambulia mapajama loba zima.
Belo za mtumba ni mnazi mmoja,
Ila bana belo ni kama ku beti, Nilishawahi ambulia mapajama loba zima.
Kwenye aina ya mabelo sijui ila nguo nazotka kuuza ni za kiume nikimaanishi jinsi za kiumeMzee unataka belo la aina gani? Na unataka kuuza nguo za aina gani?
Ushauri! kwanzaa angalia kama eneo lako kuna hali gan ya hewaa kama ni baridi kachukue "shifoni" ni 180000Mimi ni graduate,nimejichanga changa nkafikisha kiasi fulan cha pesa ili nifanye biashara ya kuuza nguo za mitumba mkoani.
Kuna siku nilipita humu nikaona Uzi kuhusu ununuaji wa nguo za mitumba ila hakukua na maelezo ya kutosha.
Nilikuwa naomba kuelekezwa sehem wanazouza mabelo ya mtumba kwa hapa Dar es Salaam,utaratibu hata pia muongozo wa bei pia.k
Kwa yeyote anayeweza kuwa na taarifa inayoweza nisaidia naomba unipatie.
Ahsante
Nashukuru SNA mkuuushauri! kwanzaa angalia kama eneo lako kuna hali gan ya hewaa kama ni baridi kachukue "shifoni" ni 180000
mahali wanako uza ni pale mnazi mmojaa mtaa wa sofiaa!! nenda kafanye survey pia ukiwa unatolea mzigo!!! please mpe buku au buku mbili yule kijana anayetoa mzigo utakujaa kunishukuru! maana atakuchagulia bonge la bale la kungoooo
Mfollow mtu anaitwa mollentrends. Anaelekeza kilakitu. Na anauza mabelo pia. Ya kila aina. Sio kwa kubet.. kama unahitaji nguo za official zipo, blouse tupu yapo, suruali zenyewe yapo, unataka mchanganyiko pia unapata.Ndio nipo Instagram
Oooh! Za kiume mara nyingi mabelo huwa yana anzia 350 na kuendelea, ila kwa kukushauri huko ulipo kama unataka kununua nenda na mtu ambaye anajua hiyo biashara ili akuchagulie belo zuri, coz kuna lebal za kuchukua sio kila mzigo unachuka, zingatia hilo coz wanaweza kusema wamekupa namba moja kumbe sio. Mfano wa lebel nzuri ni hiyo kwenye picha chini hapo.Kwny aina ya mabelo sijui ila nguo nazotka kuuza ni za kiume nikimaanishi jinsi za kiume
Unaweza niunganisha naye mkuuKuna ndugu yangu yupo Mnazi mmoja ndo kazi zake anazijua kazi mzuri hawezi kukuangusha.
Unaweza niunganisha naye mkuu
Kaka na mi unaweza nisaidia namba ya huyo jamaaPoa nakitumia namba yake.
Balo moja ni sh ngapi?Ushauri! kwanzaa angalia kama eneo lako kuna hali gan ya hewaa kama ni baridi kachukue "shifoni" ni 180000
Mahali wanako uza ni pale mnazi mmojaa mtaa wa sofiaa!! nenda kafanye survey pia ukiwa unatolea mzigo!!! please mpe buku au buku mbili yule kijana anayetoa mzigo utakujaa kunishukuru! maana atakuchagulia bonge la bale la kungoooo