malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,719
- 4,305
Nzuri
Naomba uelezee huo "umakini" unaosema, nawezaje kuwa makini?Binafsi nilianza kutumia budget ya dollar moja kwa Siku inafikia wat u 500-1400
kwa week na bust tangazo Mara tatu au inategema ila najicontol kwa mwezi natumia budget isiyopungua dollar 15-20.
Kwa experience yangu ndogo usitumie budget nyingi kwa mwezi km biashara yako inamtaji chini ya million Moja. Na hata Kama itazidi inabidi ujue kucheza na wakati
vitu vya kuzingatia
1.Aina ya biashara unayofanya ,kuna bidhaa zinasoko zaidi Mfano vipodozi, handbags, accessories za wanawake n.k tafuta biashara amabayo watu wengi kwenye soko inahitajiwa.
2.Bei, bei za bidhaa zako ziwe rafiki kwa mtanzania wa kipato cha Kati .watanzania wengi wanapenda vitu Vizuri lakini cheap. Hapa changa Karata yako vizuri.
Hayo machache tu .niongeza Fb Ads itakusaidia tangazo lako lifikie watu wengi Ila usipokuwa makini utaishia kupata like nyingi sio wateja.