mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
TCL nyingi zina support T-CAST. Utaweza kuunganisha na simu yako bila shida.Habari za asubuhi wadau nilikuwa nahitaji kununua smart tv ya tcl inchi 32 sasa nilitaka kufahamu tv yeyote ya tcl naweza kuinganisha na simu yangu nikawa naangalia vitu kutoka kwenye internet mfano website za mpira,youtube,na bei yake piah
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaHiyo hiyo smart unayotaka kunununua utaweza kuunga na sim yako
Bei aroud 450 had 550
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
ShukraniTCL nyingi zina support T-CAST. Utaweza na simu yako bila shida.
Ninayo TCL smart tv S32S6200 nikiwasha hotsport kwenye simu haidetect kabisa tatizo inaweza kuwa nini??TCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Unavyosema roku tv unamahanisha nini kwenye izo tcl tv mkuuTCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Mkuu Kama yangu hiyo balozu wake Neymar JrTCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
Hizi roku kupata bongo ni kitendawiliTCL smart tv zipo fresh hapa Nnayo moja hivi inch 32 sema sio roku tv. yenyewe ina linux haina android ila ina Netflix,youtube etc
ipo fresh
vile vile ina kang'amuzi ndani kwa ndani naweza kupata ITV,Capital,Eatv,star tv na nyinginezo
weka wireless on kwenye settingNinayo TCL smart tv S32S6200 nikiwasha hotsport kwenye simu haidetect kabisa tatizo inaweza kuwa nini??
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Wireless ipo onweka wireless on kwenye setting
zinakuwa kama na application (standalone) ambayo inaitwa roku inayokuwezesha ku stream channel karibu 2500
Exactly hiyo hiyo ndio kama yanguMkuu Kama yangu hiyo balozu wake Neymar Jr
Zipo mkuu sema price kidogo ndo ipo juu ukiwa na almost 900k unapatHizi roku kupata bongo ni kitendawili
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
mwazo ilikuwa inafanya kazi wireless?Wireless ipo on
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Habari za asubuhi wadau nilikuwa nahitaji kununua smart tv ya tcl inchi 32 sasa nilitaka kufahamu tv yeyote ya tcl naweza kuinganisha na simu yangu nikawa naangalia vitu kutoka kwenye internet mfano website za mpira,youtube,na bei yake piah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpyamwazo ilikuwa inafanya kazi wireless?
Mwanzo nilizani Ni TCL fake na bado Nina wasiwasi japo nafaidi features zakeExactly hiyo hiyo ndio kama yangu
zipo fresh zinajulikana world wideMwanzo nilizani Ni TCL fake na bado Nina wasiwasi japo nafaidi features zake