Msaada: Kuhusu kuanzisha NGOs

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Habarini,niulize tu wadau ukishaanzisha NGOs pesa za kuendesha NGOs unapata wapi,nina wazo zuri pesa ya kuanzisia NGOs ninazo ila uendesha sijui.Msaada
 
Mkuu nimependa wazo lako. Usinisahau kweny ufalme wako. Nataman kuwa mmoja wa watu watakaopigana ili kuhakikisha hiyo NGOs ina kuwa na nguvu, na pia kuwa na mafanikio. Tuwasiliane mkuu
 
NGO ni Non- government Organization. Hii INA operate Tanzania bara tu mikoa yote. Cheti chake utakipata wizara ya mambo ya ndani au wizara ya ustawi Wa jamii.
Baada ya kukamilisha taratibu za katiba, miongozo ya fedha Nk unaweza kusajiliwa.
Pesa ya kuendesha NGO utaipata kutoka
1. Ada ya wanachama
2. Michango ya wanachama
3. Serikali kupitia idara ya maendeleo ya jamii
4. Wafadhili Wa ndani na nje
5. Fedha yako nk.
Kuna wataalamu Wa kuandika proposal unapoomba fedha kwa mashirika mbalimbali wanaolipwa.
Tembelea NGO iliyokarbu nawe au in pm kwa Msaada zaidi.
Kuna NGO zinazooperate kimataifa CBO hufanya wilayani tu.
 
Poa kaka,sinatabia ya kusahau watu wanaonipa hope
 
Da umenifungua sana,nina wazo
 
Back
Top Bottom