Msaada kuhusu ku unlock simu

Msaada kuhusu ku unlock simu

philemon musa

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Habarin jamani nina simu nmeinunua ya itel asa ninataka ku unlock inataka email ya nyuma asa Nifanyaje kwasababu email ya nyuma siijui na mwenyewe aliyeniuzia hajui email yake@chiefmkwawa
 
Habarin jamani nina simu nmeinunua ya itel asa ninataka ku unlock inataka email ya nyuma asa Nifanyaje kwasababu email ya nyuma siijui na mwenyewe aliyeniuzia hajui email yake@chiefmkwawa
Majibu yangu mimi yatahusisha kudownload miracle box ndiyo ufanye hiyo ishu.

download na install mediatek drivers kwenye pc yako

Download miracle box 2.27A

Tarehe ya pc yako iseti iwe 2014 kama vipi disable na antivirus kwa muda.

Ifungue miracle box na bonyeza loader.exe.

Ikifunguka bonyeza riboni ya unlock/ fix halafu chagua clear setting/ frp

Bonyeza start

Kama unaona show ndefu nenda kwa fundi akutoleee haitazidi 10,000/= au njoo unipe hela ya xmass ndugu yako kama upo Dar
 
download ALL SPD (SPREADTRUM) CPU FRP UNLOCK...simu yako inatumia spreadtrum chipset....iyo software itakusaidia sana
 
I restore tu simple kila kitu kinarudi kama mwanzo
 
I restore tu simple kila kitu kinarudi kama mwanzo
Simu zinazotumia android version kuanzia 5.0 ukirestore kwa button (hard reset) ukiwa unaiactivate ndiyo utafika sehemu inakudai Google email iliyokuepo mwanzo kwenye simu.

Kwahiyo jamaa kashairestore ndiyo inamdai Gmail sasa.
 
Anhaa umesomeka mkuu
 
Back
Top Bottom