Msaada kuhusu kozi za afya

Nephew wangu ana Biology A Physics C Chemistry C Math D... Vp kwa huyu?!... Kozi gan ya afya inamfaa?!
 
Nipe ushaur mkuu maana coz ninayotaka kusoma ni hiyo clinical
Mi nakushauri kachukue Diploma ya nursing uwe registered nurse(RN) 3 years.ambapo baadaye unaweza kuchukua degree yake au hata masters.pia unaweza kufanya kazi sehemu yoyote duniani ukiwa kama Nurse mwenye Diploma,degree na kuendelea
 
Guide book mpya kutoka nacte wanasema ili usome nursing certificate or diploma inabidi uwe na phys D, chem C, Bios C imezua mjadala sana kwanini ipo hivyo ila ndo hivyo haijabadilika
 
Kasomediploma y clinical mwdicine achana na coz nyingine................nursing wpo wengi kichiz+ pharmacy
 
nenda advance kama kuchwani upo vizuri kasome PCB ila kama hujiamini soma clinical medicine...!!!
 
kama una f ya hesabu , unajisumbua ku apply ya nini, maana hamjasoma vigezo, minimum qualification uwe na c ya chem , c ya bios, d ya phy halafu english uwe na d pia hesab uwe na d ndio diploma utapata ya course ya afya, sasa mtu hesabu una f alafu unakuja kutusumbua uku, anyway nenda certificate
 
Cyo kweli kwamba f ya hesabu inamzuia mtu kusoma diploma ya clinical medicine...kinachoangaliwa ni. C ya chem,bios na d ya phy... Zngne ni sfa za nyongeza tu... Nina ushahidi
 
Cyo kweli kwamba f ya hesabu inamzuia mtu kusoma diploma ya clinical medicine...kinachoangaliwa ni. C ya chem,bios na d ya phy... Zngne ni sfa za nyongeza tu... Nina ushahidi
Kweli mkuu mwambie..
kwanza ajue kutofautisha kati ya SIFA STAHIKI na SIFA ZA ZIADA
 
Kaka wew acha tu yani tushasema aende form 5 mpaka tumechoka.

Kwani kama akienda kusomea hyo Clinical kwa mfano kuna uwezekano baadae akaja kuchukua hyo MD, embu nieleweshe kwanza nielewe.
Upo uwezekano kaka.
Anahitajika apate GPA ya 3.5 and above ktk diploma yake ili akasomee Degree
 
Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaa
Mhm! unapatajje C ya physics ukashidwa kukata Walau Du ya hesabu, nina mashaka na matokeo yako
 
Kwa biology B, chemistry C ,Physics C, English C math F VIP naweza chaguliwa clinical medicine vyuo vya serikali msaada kakaaa
Mhm! unapatajje C ya physics ukashidwa kukata Walau Du ya hesabu, nina mashaka na matokeo yako embu ambatanisha slip yako
 
Back
Top Bottom