Msaada kuhusu king'amuzi cha zuku

Sep 27, 2015
83
15
Hi members of jamii forum....
Naomba msaada kwa wataalamu wa hivi ving'amuzi kama kuna uwezekano wa kutolipia ..ila nikapata chaneli za tanzania..maana nimechoka sasa kulipia
 
Hakuna free of charge mkuu, kwa sasa ni digitek tu wanaotoa huduma bure, lakini ujue bure ni ghali.

Best option sasa ni kununua FTA receiver kama strong, qsat, hometech etc, then nunua dish ft 6 au 8, tafuta fundi mzuri akufungie ili upate local channels for free na zile za nje, tena hadi sports channels. Hizi zetu ni shida.
 
digtek bei gani na chaneli list ni zipi zipo,
Nyingi za FTA bongo. ITV, TBC1, STAR TV, CH 10, EATV, CAPITAL TV, CLOUDS TV, EMMANUEL TV, LIVING WATER TV, CITIZEN TV, ALJAZEERA...etc, zipo nyingi siwezi kutaja zote.
 
Nyingi za FTA bongo. ITV, TBC1, STAR TV, CH 10, EATV, CAPITAL TV, CLOUDS TV, EMMANUEL TV, LIVING WATER TV, CITIZEN TV, ALJAZEERA...etc, zipo nyingi siwezi kutaja zote.
asante sana me nazani hicho kinanifaa zaid japo sijajua bei... maana natoka usiku narudi usiku kuliko kulipia lipia kila mwezi mkuu asante sana nipe na bei
 
asante sana me nazani hicho kinanifaa zaid japo sijajua bei... maana natoka usiku narudi usiku kuliko kulipia lipia kila mwezi mkuu asante sana nipe na bei
Sijui bei ya sasa hivi. Lakini ni laki na zaidi, 110,000/- mara ya mwisho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom