Betason
JF-Expert Member
- Feb 2, 2015
- 387
- 700
habari wakuu...
ninatumia Huawei Y330 kwa mda sasa na ina line mbili, line 1 haina tatizo nikiweka chip ya mtandao wowote network haileti matatizo inasoma H au H+
Tatizo ni hii line 2, muda wote ni E tu, nilisikia humu wataalamu wakisema huwa simu zenye line 2 line no.2 huwa inazingua, sasa nahitaji msaada wenu nifanyeje ili hii line 2 nayo isome H au H+
naomba kuwasilisha