Habari wana JF
nilikua naomba kujua series za intel HD grahpics me nasikiaga kuna
intel hd grahics ya 2000
intell hd graphics ya 2500
intel hd graphics 3000
intel hd graphic 4000
naomba kujuzwa je nitatambuaje kuwa compture yangu ni inatumia intel graphics card gani kati ya hizo hapo juu
Chief Mkwawa msaada wako unahitajika