Einsten
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 921
- 798
No free in this world unapotaka kujifunza ukumbuke walitumia gharama na wanaendelea kutumia gharàma sasa utatakaje bure??Mmmh mkuu kwan kumsaidia mtu mpaka malipo
Nenda vyuo vinavyifundisha mambo ya computer ndo utajua ghrama yake..wapenda vya BURE wanacheza TATU MZUKA, MNADA POA coz wnataka kutajirika kwa haraka na free yaana tsh 500 mtu anataka amiliki gari!.
Hakuna kitu kigumu kama kufanya coding alaf mtu anataka umpe asistant free ata magufuli anajua kuwa vya bure vina gharama.
Youtube ni free but wanafanya compasation kwa Ads kamahutak free lipia PREMIUM ndo ujue NO FREE.