Msaada kuhusu ICT (information and communication technology)

Joined
Oct 10, 2020
Posts
16
Reaction score
1
Wakuu mm nmeapply chuo kwenda kusomea computing and communication technology so nahitaj msaada wa kuiyelewa it nahitaj kujifunza ndan ya hii app ya jamii forum ilinikifik chuo niwe na jielewa wa kutosha msaada juu ya hili wakuu
 
Uandishi wako mkuu una changamoto. Ila kuweka hayo kando, Computing & Communication Technology ni fani ambazo zina upana mkubwa kupita kiasi. Hardware, Software, Databases, Data transmission, Telecommunications, Data Encryption, Programming... Kila kitu kinaingia chini ya hizo fani na kila kitu ni kipana zaidi.

Unabidi uende moja kwa moja kwenye maada ni nini unahitaji kukijua. Unahitaji kujua kuhusu hiyo kozi, ningeshauri kuwasiliana na aidha watu waliomaliza au wanaosoma katika chuo husika au uongozi wa chuo moja kwa moja. Au kama unahitaji kujua kitu fulani katika hizo fani basi ukiseme moja kwa moja kwani ni fani pana sana hizo
 
Uandishi wako mkuu una changamoto. Ila kuweka hayo kando, Computing & Communication Technology ni fani ambazo zina upana mkubwa kupita kiasi. Hardware, Software, Databases, Data transmission, Telecommunications, Data Encryption, Programming... Kila kitu kinaingia chini ya hizo fani na kila kitu ni kipana zaidi. Unabidi uende moja kwa moja kwenye maada ni nini unahitaji kukijua. Unahitaji kujua kuhusu hiyo kozi, ningeshauri kuwasiliana na aidha watu waliomaliza au wanaosoma katika chuo husika au uongozi wa chuo moja kwa moja. Au kama unahitaji kujua kitu fulani katika hizo fani basi ukiseme moja kwa moja kwani ni fani pana sana hizo
Nilikuwa nahitaj kuanza kujifunza kupitia kwa wenzang coz kuna vitu nataka niitengenez lkn vinahitaj elimu na pia kuna vitu kama java,programming natak nijifunze kupitia humu
 
Ni vitu gani unataka kutengeneza?
 
kazi kweli kweli.
unataka uianze kozi yako hapa hapa jamiiforum? kwanza ushaconfirm?
 
Shaqoor hiyo passion uliyonayo itunze itakusaidia sana kwenye hii kozi.
Unataka kujua nini kuhusu java?
 
Unaposikia mtu anakwambia nenda kadownload "app"
Hiyo app ni software inayotengenezwa kwa kutumia programming language
Java ni mojawapo ya programming language
Software za java zinaundwa na kitu kinachoitwa class, objects, methods nk
Mfano wa program ya java ni huu

public class HelloWord{
public static void main(String [] args){
System.out.println("My first program");
}
}

Kwa maelezo zaidi kuhusu nilichoandika hapo juu, nenda kampigie kura Tundu Lissu halafu urudi hapa nikumwagie nondo fo free.
 
Hapa umetupoteza haman system java inayo run bila ku import package

Java:

Screenshot (1260).png

huu ni mfano wa java bila package

Screenshot (1261).png
hii ni uki add package
 
Hapa umetupoteza haman system java inayo run bila ku import package

Java:
public class HelloWord{
public static void main(String [] args){
System.out.println("My first program");
}
}

View attachment 1597734

huu ni mfano wa java bila package

View attachment 1597737hii ni uki add package
Umeimport package ya util.scanner kwasababu uliihitaji kuja kuitumia hapo kwenye Scanner input. Sasa huo mfano nilioutumia sikuhitaji Scanner ili ni uotput neno Helloword. Nice try Rookie.
 
sure
 
Kozi gani marketable kati ya
IT
ICT
Computer science
Computer engineering
Software engineering
 
Unaposikia mtu anakwambia nenda kadownload "app"
Hiyo app ni software inayotengenezwa kwa kutumia programming language
Java ni mojawapo ya programming language
Software za java zinaundwa na kitu kinachoitwa class, objects, methods nk
Mfano wa program ya java ni huu

public class HelloWord{
public static void main(String [] args){
System.out.println("My first program");
}
}

Kwa maelezo zaidi kuhusu nilichoandika hapo juu, nenda kampigie kura Tundu Lissu halafu urudi hapa nikumwagie nondo fo free.
Mmmh mkuu kwan kumsaidia mtu mpaka malipo
 
Back
Top Bottom