blakafro
Senior Member
- May 1, 2014
- 164
- 112
Habari wana JF, kuna huduma nataka kuanzisha yani inakua hivi mtu anatakiwa kujiunga kwa kutuma neno fulani kwenda namba fulani e.g mapenzi to 15741 then akijiunga anakua anatumiwa meseji kila siku kuhusiana na huduma aliyoiomba halafu anakua anachajiwa kiasi fulani cha fedha kama ada ya ile huduma alioiomba, sasa naomba msaada kama kuna mtu anaujuzi na hii kitu setup zake huwa zinakuaje kuaje. Msaada kwa mtu mwenye ujuzi na hii kitu. Nawasilisha.