Msaada kuhusu House No. Block No. And plot Number

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Wandugu,
Kuna kaofisi nimepanga maeno ya masaki kwenye plot Number xxx. Najaribu kufanya registration Brela kwaajili ya anual returns lakini system inahitaji Block number na House number vitu ambavyo sina.

Hivi kuna tofauti ya Plot No. na Block/House No.?
 
Block Ni eneo kubwa laweza kuwa na nyumba hata hamsini ndani yake.Ambapo kila nyumba inakuwa na ploti namba yake..Blocks huwa Zina namba.
 
Asante Sana Mkuu, So the same applies to house Number.
 
1. plot number ni namba ya kiwanja inayotolewa wizara ya ardhi kwenye hati ya ardhi
2. block number ni namba ya jengo/ yaan number ya usajili Wa jengo, hapa plot namba moja inaweza kuwa na majengo zaidi ya moja na kuwa na block namba tofauti kila jengo na block namba yake,
3. house number ni namba za nyumba kwenye mtaa kwa ajili ya upangaji mtaa kutoka serikali ya mtaa au manispaa
4. plot ratio ni uwiano Wa jengo lililojengwa kwenye kiwanja na eneo linaloachwa wazi N.k
 
Wandugu,
Kuna kaofisi nimepanga maeno ya masaki kwenye plot Number xxx. Najaribu kufanya registration Brela kwaajili ya anual returns lakini system inahitaji Block number na House number vitu ambavyo sina.

Hivi kuna tofauti ya Plot No. na Block/House No.?
X,
 
Plot ni kiwanja
Block nyumba Ndani ya kiwanja
Eg block 1,block 2 etc idadi za nyumba

Ova
 
Asante Sana Mkuu, So the same applies to house Number.
Mfano lenye ekari 40 wapima wanaweza kuligawa kwenye Blocks 2 @ block ekari 20... Block ya kwanza wanaweza ipa namba Y na nyingine Z... Then kila block wanaigawanya kwenye viwanja (plots) na kila plot inapewa namba say from 1 mpaka 200.... Ndiyo unakuta Eneo MKUNDI, block Y plot 5. Baadae ukijenga nyumba inapewa nayo house no.
 
Back
Top Bottom