Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

Mikoa Mingine vipi wakuu?Tunaomba Wenye matangazo ya Halmashauri Nyingine waziwek

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
hii thread nzuri. atakayepata zinazohusiana na maendeleo ya jamii asisite kuweka huku wakuu.
 
Actec two is equal to diploma kama wameruhusu foundation basi hata diploma wanaruhusiwa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kama wamesema Atech 2 au foundation walishindwa nini kusema or diploma wamesema atech 2 au foundation tu ni kweli atech 2 ni sawa na diploma lkn hawakuziitaji
Screenshot_20170713-202604.png
 
Daaa atakae ona halmashaur yenye uhitaji wa watu wa kilimo & mifugo please nicheki kwa 0763031372

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom