Msaada kuhusu Hizi ajira la Serikali za mitaa.

IMG-20170711-WA0010.jpg

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Mtu mwenye tangaza la almashauri za mkoa wa mwanza iwe ilemela,mwanza city,misungwi,magu au kwimba tafadhali liwekeni hapa au kama kuna mtu yoyote anafanya kazi izo almashauri apige picha atuwekee tusaidiane
 
Dodoma tayari karibuni

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Bado hawajaweka hadharani
Mtu mwenye tangaza la almashauri za mkoa wa mwanza iwe ilemela,mwanza city,misungwi,magu au kwimba tafadhali liwekeni hapa au kama kuna mtu yoyote anafanya kazi izo almashauri apige picha atuwekee tusaidiane
 
Ila izi kazi naona Atech na FOundation level vp wenye certificate ya accounts na diploma
 
Kweli mzee ata mimi sijaelewa hapo

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Ni atec na foundation Stage Tu

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu mwenye updates..sehemu zingine

Back
Top Bottom