Msaada kuhusu hiki kinachoonekana kwenye simu yangu

N kwel Mkuu Xiaomi kidogo wapo vzur kwa upande wa Android in terms of updates ukilinganisha na wengne, imagine simu yao ya mwaka 2013 MI 3 mpaka leo bado wanaipa updates.
Kwani kwa sasa mlioko android mko version ipi si mnakwenda kwa alfabet kutoka kitkat, lolipop, marshmallow,nasikia sijui kuna nn vile mie niliishiaga kitimoto (kitikat) nikahama .Je ni ni features zipi nzuri mnazozipata mnapopata hizo updates
 
Ni kweli ndugu..baada ya marshmallow sasa hiv tupo Android N(Nougat)
 
Hizo k/s ndo nn maana kwangu naona 343 k/s?

Msaada please
 
Hiyo Simu niliibiwaga iringa kifupi chake inaimwa mi daaaa I mic ma phone
 
N kwel Mkuu Xiaomi kidogo wapo vzur kwa upande wa Android in terms of updates ukilinganisha na wengne, imagine simu yao ya mwaka 2013 MI 3 mpaka leo bado wanaipa updates.
Nilibiwaga hiyo Simu nikiwa likizo iringa asee ni sim nzuri sana but madukanii hazipo me nilibunua kwA RAIA mmoja wa kichina vipi madukanii kwa DSM zipo hizii cm
 
Zipo Mkuu ila bei wanazngua
 
Hama kwel! Jf+ science and technician anashangaa connection speed
 
Back
Top Bottom