Msaada kuhusu hii kozi Library and information management

Msaada kuhusu hii kozi Library and information management

Ajira zake ngumu sana wengi waliomaliza hii wapo mtaani au wameshikiza mahala Nje na fani husika


Mkurugenzi mstaafu wa library tanzania Dr ally baada ya kustaafu kaomba kazi kaajiliwa kama mkutubi vijana wanamuangalia wanalia tu


Sokoni lake la ajira sio kubwa kabisa Labda uwe na akili ya ziada sana
 
Back
Top Bottom