desktop nzuri hii kama mtu yupo serious, am not sure ni i7 ipi ila hizo clock speed itakuwa ni nzuri
Dell (Core i7, HD 500, Processor 3.5, RAM 8gb) Dar es640976
mkuu almost pc zote za OEM zipo hivyo, motherboard, psu zinakuwa ni custom haziingiliani na za kawaida. hapo inabidi utafute low profile gpu ambazo hazitumii pin zinadraw power toka motherboard kupitia PCI kama vile 750ti hizi huwa TDP zake ni ndogo (60w kwa 750ti).Hizi desktop ni nzuri ila changamoto ni PSU zake ni ndogo (290W), halafu kuzibadilisha ni mtihani, power connector ya motherboard ni 8 pin, tofauti na hizi za kawaida tulizo zizoea na zinazopatikana kwa urahisi za 24pin.
Motherboard yake hii.
View attachment 360476
Za kawaida
View attachment 360477
Kuna mtu namfahamu aliuza hiyo mashine kwa kushindwa kupata PSU kubwa.
Inategemea na price kama itakua price decent ntachkua completeComplete au?
mkuu si ndo mwanzisha thread ameleta model hio hio?Wakuu, vip hii pc dell optiplex 790 core i3 4gb, bei 450000 inaweza sukuma game za kileo, gta V, need for speed rival e.t.c?
Chief-Mkwawa
Mkuu sorry sikuisoma vizuri.mkuu si ndo mwanzisha thread ameleta model hio hio?
Duka linaitwaje?Zeddicus Zu'l Zorander
lordD
William Ngotti
nimeanza kuona madukani desktop za ivy bridge (3rd generation) zimeanza kuingia bongo kwa bei nafuu kabisa.
mfano hii dell optiplex 7010 ina i5 3470 kwa shilingi 450,000 na nafkiri ukibembeleza inaweza shuka. uzuri wa hizi 3rd gen gpu zake kidogo zina ahueni games unacheza kwa resolution ndogo japo baadae utahitaji gpu nzuri.
D
duka lipo mtaa unaofatia baada ya aggrey linaangalizana na kanisa la KKKT
maduk ya pale hayana majina, ukifika hilo kanisa umefika dukaniDuka linaitwaje?
Mkuu naomba unipe direction mtu akitokea mwenge apande gari za wapi, na ashukie wapi ili niweze kumuelekeza mtu vizuri,maana mitaa ya dar sihifahamu vizuri.maduk ya pale hayana majina, ukifika hilo kanisa umefika dukani
anapanda gari za kariakoo, akifika sokoni mwisho wa gari aende aggrey wanapouza simu ni maarufu hata akiulizia ataambiwa, akifika hapo mtaa wa pili ndio una hilo kanisa siujui jina, ila ni kanisa la KKKT hilo duka linaangalizana na kanisa. ni duka kubwa sana la desktop nyengine zipo hadi njeMkuu naomba unipe direction mtu akitokea mwenge apande gari za wapi, na ashukie wapi ili niweze kumuelekeza mtu vizuri,maana mitaa ya dar sihifahamu vizuri.
kanisa linaitwaje?maduk ya pale hayana majina, ukifika hilo kanisa umefika dukani
KKKTkanisa linaitwaje?
mkuu naona hakuna gpu kwa sasa inayoikamata gtx 1080 labda kidogo sapphire radeon R9 ila tatizo kwa gtx 1080 ni bei kubwa na inabidi ufunge ndoa na TanescO.online siku hizi ni dola 100 tu kwa 750ti,
na nvidia wameshaanza kuzindua series zao mpya za 1xxx series imetoka 1080 na 1070 mpaka sasa hivi, sio mchezo hio 1070 tu nimeangalia benchmark zake zilizoleak imeipita hadi titan x, hali hio imepelekea gpu za mwaka jana kushuka sana bei sababu hazina thamani tena. ikitokea nvidia akizindua gpu kama 750ti isiokula sana umeme ujue hizi 750ti tutaziokota ebay kama takataka. siku nzuri zinakuja muda si mrefu
Me nanuaga GPU za nvidia lakini kutoka moyoni naipenda sana AMD. Nasubiri zipungue bei nitanunua GTX 1060 au RX 480.mkuu naona hakuna gpu inayoikamata gtx 1080
AMD na GPU zao siwakubali hapa ni mwendo wa Nvidia tuMe nanuaga GPU za nvidia lakini kutoka moyoni naipenda sana AMD. Nasubiri zipungue bei nitanunua GTX 1060 au RX 480.
Haya bwana, ila AMD wamekuja vizuri safari hii na kadi yao ya Rx 480 inaumana na nvidia gtx 1060. Nikiona wanazingua nanunua gtx 1060.AMD na GPU zao siwakubali hapa ni mwendo wa Nvidia tu
okHaya bwana, ila AMD wamekuja vizuri safari hii na kadi yao ya Rx 480 inaumana na nvidia gtx 1060. Nikiona wanazingua nanunua gtx 1060.
kuna nvidia titan x mpya ndio gpu yenye nguvu zaidi ya wateja wa kawaidamkuu naona hakuna gpu kwa sasa inayoikamata gtx 1080 labda kidogo sapphire radeon R9 ila tatizo kwa gtx 1080 ni bei kubwa na inabidi ufunge ndoa na TanescO.