HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Yah niliona video yao ya launching. Gamers wengi wa budget tunavizia 700 series na 900 series zishuke bei maana hiyo series mpya bei zake ni ishu hasa kwetu bongo. Ila hii new akitekcha ni balaa sijui amd watajibu nini na polaris yao. Hebu tuone.online siku hizi ni dola 100 tu kwa 750ti,
na nvidia wameshaanza kuzindua series zao mpya za 1xxx series imetoka 1080 na 1070 mpaka sasa hivi, sio mchezo hio 1070 tu nimeangalia benchmark zake zilizoleak imeipita hadi titan x, hali hio imepelekea gpu za mwaka jana kushuka sana bei sababu hazina thamani tena. ikitokea nvidia akizindua gpu kama 750ti isiokula sana umeme ujue hizi 750ti tutaziokota ebay kama takataka. siku nzuri zinakuja muda si mrefu
sipo excited sana na gpu za amd sababu ya power. jamaa vifaa vyao vinakula sana umeme inabidi ubadili power supply na ujiandae na bili ya umemeYah niliona video yao ya launching. Gamers wengi wa budget tunavizia 700 series na 900 series zishuke bei maana hiyo series mpya bei zake ni ishu hasa kwetu bongo. Ila hii new akitekcha ni balaa sijui amd watajibu nini na polaris yao. Hebu tuone.
Yeah ni kweli + makelele ya cooling fans. Ila Wameligundua hilo nafikiri watalishughulikia. Inabidi wakaze msuli ili sisi wateja tufaidike na competition.ingawa najua wanahitaji kuinvest sana ili kuwafikia nvidia na intel.sipo excited sana na gpu za amd sababu ya power. jamaa vifaa vyao vinakula sana umeme inabidi ubadili power supply na ujiandae na bili ya umeme
io 750ti ulinnua wapi na mm nipate?Nakubaliana, mimi nina 790 MT na ina core i5 2400@3.1 na gtx 750 Ti. Yani gemu nateleza tu.
Okay nilinunua Duka linaitwa Techno City lipo kariakoo andaa Tsh 550000, duka jingine linaitwa Nordic Computers sh 570000 kama sijakosea na duka jingine ni Capricorn bei hiyo hiyo. Sijawahi kununua nje ya nchi.Karibu.io 750ti ulinnua wapi na mm nipate?
Mmh mkuu hiyo kompyuta unataka kununua au unayo tayari? Kama haunayo usinunue kanunue yenye processor ya i5 2400/2500 au i7 2600.ambayo bei itakuwa around 500000-700000. Pia tafuta kadi nyingine usichukue kadi chini ya Gtx 750 ti utaumia. Ni ushauri tu mkuu.Dell Optiplex 790 Intel core i3 3.1GHz Ram 4GB HDD 250+ GB DVD writer
Processor Main Features 64 bit Dual Core Processor Cache Per Processor 3MB L3 Cache
Memory 4GB DDR3 1333
Hard Drive 250+GB SATA 3Gb/s 7200RPM
Optical Drive DVD writer
Double Graphic Card on board VGA and DVI.
Computer tajwa hapo juu inauwezo wa kuplay latest game kama vile GTA 5......??
Sawa mkuu bado sijanunua nina mpango wa kununuaMmh mkuu hiyo kompyuta unataka kununua au unayo tayari? Kama haunayo usinunue kanunue yenye processor ya i5 2400/2500 au i7 2600.ambayo bei itakuwa around 500000-700000. Pia tafuta kadi nyingine usichukue kadi chini ya Gtx 750 ti utaumia. Ni ushauri tu mkuu.
Kama unayo uza.Usiigharamikie.
Inatrgemea na graphics cardDell Optiplex 790 Intel core i3 3.1GHz Ram 4GB HDD 250+ GB DVD writer
Processor Main Features 64 bit Dual Core Processor Cache Per Processor 3MB L3 Cache
Memory 4GB DDR3 1333
Hard Drive 250+GB SATA 3Gb/s 7200RPM
Optical Drive DVD writer
Double Graphic Card on board VGA and DVI.
Computer tajwa hapo juu inauwezo wa kuplay latest game kama vile GTA 5......??
Aisee unaeza ni direct kwa madealers wazuri wa PC. Natafta desktop ya core i5 au i3Mmh mkuu hiyo kompyuta unataka kununua au unayo tayari? Kama haunayo usinunue kanunue yenye processor ya i5 2400/2500 au i7 2600.ambayo bei itakuwa around 500000-700000. Pia tafuta kadi nyingine usichukue kadi chini ya Gtx 750 ti utaumia. Ni ushauri tu mkuu.
Kama unayo uza.Usiigharamikie.
Complete au?Aisee unaeza ni direct kwa madealers wazuri wa PC. Natafta desktop ya core i5 au i3
nunua flat screen ya singsungNinatafuta monitor ya desktop almost kama hiyo. Iwe inasuppirt HDMI
OkSawa mkuu bado sijanunua nina mpango wa kununua
Kuna jamaa wasomali pale uhuru karibu na sheli ya total kama unaenda mnazi mmoja upande wa kulia. Kuna discount kubwa opposite na kituo cha polisi msimbazi. Pia kuna duka nasikia lipo maeneo ya machinga komplex kariakoo wanazo.Aisee unaeza ni direct kwa madealers wazuri wa PC. Natafta desktop ya core i5 au i3
Mkuu core i5 wanauza mashine tupu. Monitor unanunua kivyake.Complete au?
Zipo ila bei kuanzia 300000 mkuu unapata kuanzia nchi 24.Ninatafuta monitor ya desktop almost kama hiyo. Iwe inasuppirt HDMI
Me natumia aborder HDTV nchi 32 resolution ni 1360X768. Bei 500000. Full hdmi port 2.Ninatafuta monitor ya desktop almost kama hiyo. Iwe inasuppirt HDMI
Nilikuwa namuuliza huyo mr anayetaka mashine kama anataka complete au Cpu pekee.Mkuu core i5 wanauza mashine tupu. Monitor unanunua kivyake.
Mi nahitajia cpu peke yake vip unazo?Nilikuwa namuuliza huyo mr anayetaka mashine kama anataka complete au Cpu pekee.