William Ngotti
Senior Member
- Apr 13, 2015
- 187
- 48
Mimi nina 400000haina uwezo huo yenyewe labda ui upgrade.
kama unapenda kucheza games tafuta yenye i5 2500 halafu inunulie na gpu kama gtx 750ti vyote hivi vitacost around 700,000
sio mbaya nunua hio ya i3 kwa 300,000 halafu hio 100,000 upgrade ram (2gb) iende 6gb kwsa sh 15,000, halafu itakayobaki tafuta gpu hata gtx 740 sio mbaya itacheza gta v.Mimi nina 400000
ok jipange taratibu.. hapo imepelea 300,000Mimi nina 400000
Kwa bei siwezi pata nzuri ata cpu tuok jipange taratibu.. hapo imepelea 300,000
Dell Optiplex 790 Intel core i3 3.1GHz Ram 4GB HDD 250+ GB DVD writer
Processor Main Features 64 bit Dual Core Processor Cache Per Processor 3MB L3 Cache
Memory 4GB DDR3 1333
Hard Drive 250+GB SATA 3Gb/s 7200RPM
Optical Drive DVD writer
Double Graphic Card on board VGA and DVI.
Computer tajwa hapo juu inauwezo wa kuplay latest game kama vile GTA 5......??
Pouwa mkuuunaweza ukanunua hiyo pc alafu ukaongeza gpu kama geforce gtx 750ti utaplay bila shida at high settings
Mkuu nina shida na ram ya desktop DDR2 4GB na hard drive ya laptop IDE walau 200GB naweza pata wapi na kwa sh ngapi?sio mbaya nunua hio ya i3 kwa 300,000 halafu hio 100,000 upgrade ram (2gb) iende 6gb kwsa sh 15,000, halafu itakayobaki tafuta gpu hata gtx 740 sio mbaya itacheza gta v.
mkuu kibongo bongo ram za 4gb ni ghali sana compare na ram mbili za 2gb. angalia desktop yako ina slot ngapi kama zipo mbili kupanda ni bora ununue ram nyingi za 2gb.Mkuu nina shida na ram ya desktop DDR2 4GB na hard drive ya laptop IDE walau 200GB naweza pata wapi na kwa sh ngapi?
THANKS IN ADVANCE
Asante kwa msaada but mimi niko mikoani huku. Nina ka desktop kangu ka NEC (all in 1) kanatumia hdd ya ide ya laptop (30gb) na kana slot 2 za DDR2.mkuu kibongo bongo ram za 4gb ni ghali sana compare na ram mbili za 2gb. angalia desktop yako ina slot ngapi kama zipo mbili kupanda ni bora ununue ram nyingi za 2gb.
kwa ddr3 ni 15,000 sijui ddr2 bei exactly ni ngapia ila nakushauri nenda machinga complex kule hutakosa. pia hdd za ide cheki huko huko
kwa hizo specs hata ukiongeza hdd na ram huenda na processor ikawa ya kizamani vile vile. cost yake ni bora ongezea utafute angalau desktop za core 2 duo kwa matumizi ya kawaidaAsante kwa msaada but mimi niko mikoani huku. Nina ka desktop kangu ka NEC (all in 1) kanatumia hdd ya ide ya laptop (30gb) na kana slot 2 za DDR2.
Sasa nataka nikafufue.
Asantekwa hizo specs hata ukiongeza hdd na ram huenda na processor ikawa ya kizamani vile vile. cost yake ni bora ongezea utafute angalau desktop za core 2 duo kwa matumizi ya kawaida
Nakubaliana, mimi nina 790 MT na ina core i5 2400@3.1 na gtx 750 Ti. Yani gemu nateleza tu.haina uwezo huo yenyewe labda ui upgrade.
kama unapenda kucheza games tafuta yenye i5 2500 halafu inunulie na gpu kama gtx 750ti vyote hivi vitacost around 700,000
Ila gharama sio laki saba chief ni 1000000. Yaani aandae tu mpunga wa kueleweka.Nakubaliana, mimi nina 790 MT na ina core i5 2400@3.1 na gtx 750 Ti. Yani gemu nateleza tu.
hio nimemtajia tu minimum kwa 720p gaming. ila tukija huku kwenyewe kuanzia 1080p kupanda ni kweli haitatoshaIla gharama sio laki saba chief ni 1000000. Yaani aandae tu mpunga wa kueleweka.
Kweli mkuu. Kunajamaa pale mikocheni karibu za zantel wanaitwa Nordic computers wanauza 750 ti 570000(msi feni moja), capricon wana zotac( feni mbili). Halafu technocity waliniuzia 530000(msi feni moja). Poa mkuu.hio nimemtajia tu minimum kwa 720p gaming. ila tukija huku kwenyewe kuanzia 1080p kupanda ni kweli haitatosha
online siku hizi ni dola 100 tu kwa 750ti,Kweli mkuu. Kunajamaa pale mikocheni karibu za zantel wanaitwa Nordic computers wanauza 750 ti 570000(msi feni moja), capricon wana zotac( feni mbili). Halafu technocity waliniuzia 530000(msi feni moja). Poa mkuu.