Msaada kuhusu HESBZT

Msaada kuhusu HESBZT

Ally Msafi

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
23
Reaction score
0
Jamani nimehangaika sana kuangalia jina langu kama limo kwenye orodha ya majina yaliopungukiwa kua na viambatanisho flani mpaka mda wa kufanya marekebisho umepita..! Naomba kwa anaeweza kuniangalizia ili nijiridhishe tu jina ni Ally Said namba ni S3861.0043.2011
 
Back
Top Bottom