Msaada kuhusu HALOTEL

Ja60

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
277
Reaction score
181
Ninatumia mtandao wa halotel kwa siku kadhaa sasa lakini kwa siku ya kwanza nlipotumia internet ilikuwa fasta sana ghafla ikapungua na kuwa ndogo sana lakin ipo kwenye 3GH+ nin linaweza kuwa tatizo na bando yangu ni bila kikomo.
 
Usikate tamaa, endelea kuwatumia tu.

Ukiona huwezi kuwavumilia wahame tu.
 
Usikate tamaa, endelea kuwatumia tu.

Ukiona huwezi kuwavumilia wahame tu.

Hahaa.. haya bhana soon ntachoma hii line kama wakiendlea hivi.
 
Ninatumia mtandao wa halotel kwa siku kadhaa sasa lakini kwa siku ya kwanza nlipotumia internet ilikuwa fasta sana ghafla ikapungua na kuwa ndogo sana lakin ipo kwenye 3GH+ nin linaweza kuwa tatizo na bando yangu ni bila kikomo.

Utakuwa frelansa wa hallotel wew maana bado hawajaanza kutoa Lain kwa wateja ,Lain zilizo toka ni za usajil tuu , mmpewa 5G bure na dk 300 hallotel to hallotel bure ,sa utampigia Nani kama sio frelansa mwenzako ,subir wawashe sets zao
 
Hapo kwenye 5G hujakosea kweli?
 
mimi nimemaliza gb 5 ndani ya masaaa 2 hapa nawaza naongezaje data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…