Msaada kuhusu gharama za upasuaji MOI

kuroiler

Member
Jul 5, 2015
50
24
Naomba kuuliza gharama za upasuaji wa Mifupa MOI ikoje Kuna bro wangu alitibiwa kienyeji sasa mfupa unaunga vibaya, hivyo anapaswa kuvunjwa na kuungwa upya
 
Back
Top Bottom