Ipo pale ARU inahusu Land Survey lakini yenyewe inadili sana kwenye geospatial database management. Unakuwa Land Surveyor ambae utahusika sana kwenye data processing, data management and validation. Kazi site sio kiviile ingawa unaweza kuzifanya pia.
Core course ni Geomatics lakini kuanzia mwaka wa tatu unspecialize kati ya:
1. Geomatics Engineering
2. Geodetic science
3. Geoinformatics
Land surveyors hao, utapima viwanja na mashamba za mipaka ya halmashauri yako ya jiji, manispaa, mji, mpaka wilaya...kwa kifupi wewe ni Mpima Ardhi daraja la pili, utatua sana migogoro ya Ardhi kati ya wakulima na wafugaji
Ipo pale ARU inahusu Land Survey lakini yenyewe inadili sana kwenye geospatial database management. Unakuwa Land Surveyor ambae utahusika sana kwenye data processing, data management and validation. Kazi site sio kiviile ingawa unaweza kuzifanya pia.
Core course ni Geomatics lakini kuanzia mwaka wa tatu unspecialize kati ya:
1. Geomatics Engineering
2. Geodetic science
3. Geoinformatics
Unaweza kufanya mgodini kupitia geological maping via remotesensing,,,mamlaka ya hali yahewa via geographical informationsystem,,,na atmospheric conditions,,, vilevile unaweza kuwa surveyor!!!!!!