Wakuu..habari zenu..
Naomba kufahamishwa hii kitu inaitwa geoinformatics inahusiana na nini hasa? Na Challenges pia naomba kuzifahamu..
Ahsanteni
Wakuu..habari zenu..
Naomba kufahamishwa hii kitu inaitwa geoinformatics inahusiana na nini hasa? Na Challenges pia naomba kuzifahamu..
Ahsanteni
Ipo pale ARU inahusu Land Survey lakini yenyewe inadili sana kwenye geospatial database management. Unakuwa Land Surveyor ambae utahusika sana kwenye data processing, data management and validation. Kazi site sio kiviile ingawa unaweza kuzifanya pia.
Core course ni Geomatics lakini kuanzia mwaka wa tatu unspecialize kati ya:
1. Geomatics Engineering
2. Geodetic science
3. Geoinformatics