Msaada kuhusu gari la range rover

Msaada kuhusu gari la range rover

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
247
Mwenye uzoefu na mjuzi wa gari aina ya range rover, nahitajia kujua matumizi ya mafuta, mfano lita 1 inakwenda kilomita ngapi?
 
Mkuu hapo sijakupata kabisaaaa, umenipeleka kitaalamu zaidi mkuu, nipembulie nielewe.
 
hilo ni jini mahaba a.k.a nyonya damu
 
Mwenye uzoefu na mjuzi wa gari aina ya range rover, nahitajia kujua matumizi ya mafuta, mfano lita 1 inakwenda kilomita ngapi?

Wenye uwezo wa kumiliki gari hiyo wala hawawezi kuja hapa kuuliza fuel consumption. wewe nunuwa Toyota Passo ndio huwezo wako na utafurahia matumizi yake ya mafuta.
 
Je zote za petrol ni V8? Nisaidie mkuu.
hizo za V8 ni Petrol na zina kunywa sana wese. V8 zina cc kati ya 3946 hadi 5000cc ila kuna za TD6 zinatumia Diesel, 2900cc na 2495cc (3.0L, 2.5 DT au 2.5 DSE) consumption yake ni nzuri sana kushinda hata Toyota Prado.
 
hizo za V8 ni Petrol na zina kunywa sana wese. V8 zina cc kati ya 3946 hadi 5000cc ila kuna za TD6 zinatumia Diesel, 2900cc na 2495cc (2.5 DT au 2.5 DSE) consumption yake ni nzuri sana kushinda hata Toyota Prado.

Ahsante mkuu.
 
Back
Top Bottom