Msaada kuhusu facebook na mitandao mingine

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
776
Hivi kuna uwezekano wa third party kuona chat msg ya watu wawili? Na kama ndiyo inatakiwa ifanyeje ili uone. Kuna siku nilifungua fb account yangu nikakuta chatting ya watu fulani nikasoma msg zao walivyokuwa wanachatt wakati nimelog in mimi. Lakini ile computer ni yangi na ninauitumia mimi tuu, so what happened? Nielekezeni wadau. Pia nimesikia watu wanasema mtu anaweza kutrace mawasiliano yako kwenye fb, na mitandao mingine inakuwaje? Kuna set up inatakiwa au software inatakiwa?
 
Hata mimi imenitokea siku moja fb tena ni last wiki niko kwenye account yangu lakini zikawa zinaingia chat za watu wengine wawili wanaojibizana. Nilishangaa na sikujua nini kinaendelea labda wenye maujuzi watatueleza hapa.
 
Hebu chunguza inawezekana ni watu waliokuwa wanachat kwenye grp ambalo na ww ni member hivyo member yeyote

ambaye yupo kwenye grp na yuko online ataziona hizo chat zao!..

hizo sms zinaweza kuwa kuwa ni mtu ametuma sms kwa watu zaidi ya wawili na wewe ukawa ni mmoja wao hivyo kila wakichat na wewe unakuwa unaona chatting yao!
 
Naomba msaadawa jinsi ya kuongeza speed ya internent kwenye simu yangu au chip yangu ya tigo
 
Ha ha ha hii wakuu mi iliwah kunitokea,ukiwa upo online download fb messenger anza kuitumia,ukilogout messenger inakua bado online then akija mtu mwengine akilogin kwa fb ile messenger inakua online kwa jina lako kwa vile hukulogout halaf rafiki zako watakuona online na kuanza kukutumia chatin,sasa mtu aliyekua online ndo hapo atashindwa kuelewa!
 
Hebu chunguza inawezekana ni watu waliokuwa wanachat kwenye grp ambalo na ww ni member hivyo member yeyote

ambaye yupo kwenye grp na yuko online ataziona hizo chat zao!..

Hili naliona kama sahihi japo sikumbuki kujiunga na group lakini kuna wakati wanapata group messages kwenye inbox na nimekuwa nikijiuliza inakuwaje. Nadhani kunajinsi ya kumuunga mtu kwenye group messages bila ridhaa ya mtu mwenyewe
 
inawezekana kuweka conversation kwenye facebook, ukifungua message za facebook kuna option ya kuadd watu kwenye conversation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…