Msaada kuhusu email

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,197
4,554
Ndugu habari zenu, natumaini mu wazima. ningependa kujuzwa kuna baadhi ya watu hasa wenye email adres za yahoo ambapo nimekuwa nikiwasiliana nao na mwsho jumbe zao hutokea majna yao kamil namba zao za simu ,sanduku laposta na mtaa pia.je nifanyaje nami niweze kuweka detail hzokwenye gmail yangu
 
Ipo sehemu ya Signature angalia utaiona uweke kila unachotaka kuweka. Wewe fungua tu email yako kodoa vizuri macho yako utaona endelea kama................
 
Back
Top Bottom