Salam wakuu!
Kwa wale wataalam wa Technology, ninaomba mnielekeze jambo hili.
Jana nilituma Document sehemu, ambayo ina ukubwa wa 1.8 mb na ikaonyesha sent. Leo jioni nimepata ujumbe kwenye email yangu ambao unaonyesha kutoka email subsystem unaosomeka "Incompete email delivery....message truncated"
Ninaomba kujua yafuatayo:
1. Nini maana ya maneno hayo?
2. Je, document yangu itakuwa imepokelewa au la?
3. Kama haijapokelewa nini cha kufanya?