Wakuu,
Nililipia Dstv Premium miezi kadhaa iliyopita, baada ya hapo sikulipia maana channels ziliendelea kuonekana(hazikukata baada ya muda wa kifurushi kupita) ila jana zilikata, sasa nashindwa kuelewa ni nini kilitokea kikapelekea channels zisikate na nini kimetokea zimekata? Inamaana walijisahau na sasa ndio wameshtuka au?
Naomba msaada wa maelezo kwa wale wanaojua kuhusu hili.
Ahsanteni!