Wakuu mimi nipo mkoani nahitaji desk top kwa ajiri ya games na bajeti ya 30k katika pita pita mtandaoni nimeona page hii ya discount anauza kompya.ram4,hdd500,screen inch19.kwa 28800.
Nahiji kuagiza mzigo kutoka kutoka Dar hadi njombe.
Je kuna mtu aliye wahi kuagiza mzigo hapo ?vip kuhusu usalama wa mzigo?
Pia kama una wazo naomba ?