Msaada kuhusu digrii hizi

Msaada kuhusu digrii hizi

Ngoja tunawaubiri wajuvi wa mambo waje
 
Hizi degree za online zinakubalika nchini Tanzania ?

Inategemea sifa za Chuo husika, walimu wanaoendesha masomo hayo, mitihani inayotolewa, muda wa masomo, makaratasi unayoandika na mada zenyewe, muda ambao mnakutana wote kampasi, andiko la mwisho - toka proposal hadi dissertation ambayo umedefend. Pesa unayolipa. Vyuo vingi vya Kimataifa vyenye sifa vina online programmes sambamba na residential sessions.Hapa Tanzania sijui sana ila Kenya vingi tu Maseno, Nairobi, Nazarene, NEGEST, AIU.
 
ngoja wenye degree za kudownload waje hapa watakujuza saivi wanafanya nini
 
Back
Top Bottom