Msaada kuhusu decorder nzuri

Msaada kuhusu decorder nzuri

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Ndugu zangu, naomba mnisaidie kujua ni decorder gani nzuri kati ya star times, zuku, ting, easy tv na continental ambayo ni nzuri kwa gharama za mwezi na inayoweza kuonyesha japo mpira wa uingereza. Naomba na mchanganuo wa gharama za mwezi na bei ya decorder.
 
mkuu mpira ni DSTV tu
 
Back
Top Bottom